Shankara Adan Hassan aliyekuwa ametoweka apatikana

  • | Citizen TV
    3,756 views

    Shankara Adan Hassan aliyetekwa nyara na watu wasiojulikana tarehe 12 mwezi huu amepatikana akiwa amefichwa ndani ya chumba eneo la Maua, kaunti ya Meru. Shankara alipatikana katika oparesheni iliyoongozwa na maafisa wa upelelezi