Shawn Michael, aliyeibuka mwanafunzi bora katika shule ya Maseno, asema angependa kuwa daktari

  • | KBC Video
    16 views

    Shawn Michael Ngweno, aliyeibuka mwanafunzi bora kwenye KCSE katika shule ya upili ya Maseno anasema angependa kuwa daktari katika siku za usoni. Michael alipata alama ya A kwa pointi 84 na kuvunja kile anachotaja kuwa rekodi ya familia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #KurunziMashinani #TheGreatKBC