Shella inaongoza kwa ugonjwa wa ukambi eneo la bunge la Malindi

  • | Citizen TV
    331 views

    Wadi ya Shella katika eneo bunge la Malindi inaongoza kwa idadi kubwa ya watoto wanaougua ukambi kutokana na wao kukosa kupewa chanjo.