sherehe hizo zilivyokuwa katika maeneo ya Nyanza na Magharibi mwa Kenya.

  • | KBC Video
    39 views

    Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa ametoa wito kwa wakazi kujisajili katika mpango wa halmashauri ya afya ya jamii ili kupata huduma bora za afya. Wito huo ulitolewa wakati wa maadhimisho ya siku ya Madaraka. Wakati huo huo, katika kaunti ya Busia, viongozi walielezea wasiwasi wao kutokana na kuongezeka kwa matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii miongoni mwa vijana. Huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa kuhusu namna sherehe hizo zilivyokuwa katika maeneo ya Nyanza na Magharibi mwa Kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive