Sherehe kwa Waislamu, mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan ukikamilika

  • | KBC Video
    56 views

    Serikali imetangaza kesho Jumatano kuwa siku kuu kuadhimisha mwisho wa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Katika arifa kwenye gazeti rasmi la serikali, waziri wa usalama wa taifa Kithure Kindiki alisema siku hiyo imetengwa kusherehekea Eid-ul-Fitr. Baraza kuu la Waislamu humu nchini-SUPKEM pia limetangaza mwisho wa mfungo wa Ramadhan ambao ni mwezi wa tisa kulingana na kalenda ya Kiislamu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News