Sherehe maalum ya kitamaduni ya Kipokomo yaandaliwa Nairobi

  • | KBC Video
    6 views

    Jamii ya Wapokomo hapa katika kaunti ya Nairobi iliandaa sherehe maalum ya kitamaduni ya kila mwaka, ikiangazia kwa kina kuwasaidia vijana kujifunza na kuzifahamu mila za jamii hiyo.Kupitia matumizi ya muziki, upigaji ngoma na kutia nakshi za densi, hafla hiyo muhimu ilitoa fursa kwa vijana walio jijini kuvuna mengi yanayohusiana na turathiza jamii hiyo, inayoishi kwenye kingo za mto Tana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive