Sherehe ya jamii ya maasai

  • | Citizen TV
    188 views

    Desturi na sherehe za kumtawaza chifu wa kwanza wa rika katika koo la Purko ndani ya jamii ya Maasai almaruf Oloiguanani Le Ooroenkiten-Loo Irkiramat zimefika kilele huku Naraulolei Ole Kupeyi akichaguliwa kiongozi wa jamii hiyo.