Sherehe ya kuadhimisha miaka 102 ya mama Loise Githae Gethendui Kutoka Kirinyaga

  • | Citizen TV
    613 views

    Familia, Wajukuu, Vitukuu, Na Marafiki Wa Mama Loise Githae Gethendui Kutoka Kijiji Cha Marurumo Kaunti Ya Kirinyaga, Walimuandalia Sherehe Ya Kukata Na Shoka Kuadhimisha Ziku Yake Ya Kuzaliwa Ambapo Anatimia Miaka 102.