Sherehe za furaha wakati maelfu wakirudi nyumbani

  • | BBC Swahili
    488 views
    Umati wa watu umesherehekea nchini Lebanon baada ya makubaliano mapya yaliyofikiwa ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah. Katika mji mkuu, Beirut na huko Israeli wananchi wametoa maoni na hisia tofauti kufuatia taarifa hizo. Maelfu ya raia wa Lebanon wameanza kurejea makwao kusini mwa nchi hiyo, lakini Israel inaonya baadhi ya maeneo bado hayapo salama. #bbcswahili #lebanon #beirut Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw