Skip to main content
Skip to main content

Sherehe za Jamhuri Dei kuandaliwa Uwanjani Nyayo, usalama waimarishwa jijini Nairobi

  • | KBC Video
    953 views
    Duration: 3:07
    Hafla ya sherehe za 62 za Jamhuri Dei zitaandalia katika uwanja wa michezo wa Nyayo jijini Nairobi. Usalama umeimarishwa jijini na viunga vyake, huku msongamano wa magari ukitarajiwa kushuhudiwa katika barabara ya mwendo wa kasi na ile ya Langata. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive