Sherehe za kitaifa za kuadhimisha siku ya wajane duniani zafanyika Nakuru

  • | Citizen TV
    242 views

    Huku dunia ikiadhimisha siku ya wajane, sherehe za kitaifa zinafanyika katika kaunti ya Nakuru kwenye uwanja wa Nyayo, wajane wamekuwa na changamoto si haba haswa urithi wa Mali ya waume wao wanapofariki.