Sherehe za kitamaduni | Kaunti ya Lamu yatoa shilling laki sita kwa vikundi 27

  • | Citizen TV
    861 views

    Serikali ya kaunti ya Lamu imetoa ruzuku ya shilling laki sita kwa vikundi 27 vya akina mama wa lamu ili kupika chakula kitakachouziwa wageni wanaohudhuria shehere za utamaduni zitakazofanyika juma hili. sherehe hizo zimefanyika kw amiaka ishirini Lamu