Sherehe za kuadhimisha miaka-9 ya siku ya kimataifa ya mazoezi ya Yoga zaandaliwa

  • | KBC Video
    15 views

    Wananchi wamehimizwa kukumbatia mabadiliko ya mtindo wa maisha ambao una mchango mkubwa katika kuboresha afya yao.Akiongea wakati wa hafla ya sherehe za kuadhimisha miaka-9 ya siku ya kimataifa ya mazoezi ya Yoga chini ya kauli mbiu “One World, One Family” balozi wa India Namgya Khampa aliwashauri wakenya kutilia maanani afya nzuri ya akili na mwili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #yoga