Sherehe za Mashujaa katika kaunti mbalimbali

  • | Citizen TV
    1,364 views

    Sherehe za kitaifa za Mashujaa ziliendelea kaunti mbalimbali nchini huku idadi ndogo ikishuhudiwa sehemu nyingi. Aidha baadhi ya viongozi wa kisiasa walionekana kususia sherehe hizi katika baadhi ya maeneo kama vile kaunti ya Busia, ambako Gavana aliandaa hafla kivyake. Chrispine Otieno anaangalia namna sherehe zilivyokuwa kaunti za Kericho, Kakamega, Kisii na kwengineko