Sherehe za Mashujaa kunufaisha pakubwa kaunti ya Kirinyaga

  • | KBC Video
    Mnamo mwaka 2010, Wakenya waliidhinisha kwa kauli moja Katiba mpya ambayo iliaashiria mwamko mpya wa taifa hili. Ugatuzi wa mamlaka na rasilimali uliojikita kwenye Katiba hiyo mpya ulionekana kuwa wa manufaa zaidi kwa Wakenya. Miaka 10 tangu kuidhinishwa kwa Katiba hiyo, matunda ya ugatuzi yamedhihirika katika kaunti mbalimbali. Katika kaunti ya Kirinyaga kwa mfano, tulizungumza na gavana Anne Waiguru na Baadhi ya wakazi na maoni yao ni dhihirisho tosha la mabadiliko yaliyoafikiwa chini ya Katiba mpya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #Mashujaa2021