Sherehe za Mpesa Sokoni festival zaandaliwa Kisumu

  • | Citizen TV
    168 views

    Kampuni ya Safaricom hii leo iliandaa tamasha la kukata na shoka la MPESA Sokoni Festival katika uga wa Jomo Kenyatta jijini Kisumu kuashiria kilele cha sherehe za maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini katika ukanda huu. Safaricom imeshirikiana na kampuni ya Royal Media Services kuhakikisha mafanikio ya mpango huu wa kuWAshirikisha wateja wake kwenye maadhimisho hayo.