Sherehe za mwaka mpya za China zaandaliwa jijini Nairobi

  • | KBC Video
    30 views

    Kenya na China zinaweza kutumia utamaduni wao kuimarisha uhusiano baina yao.Kulingana na mkurugenzi wa taasisi ya Confucius ya chuo kikuu cha Nairobi Prof Wang ShangXue nchi hizi mbizi zinaweza pia kutumia utamaduni wao kwa maendeleo ya kiuchumi. Alisema haya wakati wa sherehe za mwaka mpya za China zilizoandaliwa katika kituo kimoja cha kibiashara cha Nairobi.Na jinsi Pauline Nasimiyu anavyotuarifu,Tamasha hizo ziliwaonyesha wakenya utamaduni wa wachina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #chinesenewyear #darubiniwikendi