Skip to main content
Skip to main content

Sherehe za Nakuru RFC: Mashindano ya 10-a-side kuandaliwa uwanjani NAC mwezi ujao

  • | Citizen TV
    373 views
    Duration: 2:45
    Huku klabu ya raga ya Nakuru ikijitayarisha kuandaa mchuano wa raga ya 10 a side tarehe 3 hadi tano mwezi aprili, timu zaidi ya arobaini zinatarajiwa kushiriki. Klabu hiyo ikitumia fursa hiyo kusherehekea miaka 100 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1923. Nakuru RFC inajivunia wachezaji maarufu waliostaafu na wengine wakiwa wanachezea timu ya taifa ya raga ya Kenya.