Sherehe za Pasaka na Ugumu wa hali ya biashara

  • | VOA Swahili
    107 views
    Mfanyabiashara aeleza kilio chake kuhusu Ugumu wa hali ya maisha na jinsi inavyopelekea kwa Biashara kudorora. Anaelezea kwamba hali mwaka huu wakati Wa Pasaka imekuwa tofauti. Mwandishi wetu wa Nairobi Zeinab Saidi anazungumza na mchuuzi wa mboga na kuku akielezea hali ilivyo… #nairobi #mchuuzi #kenya #sikukuu #pasaka #biashara #bei #voa #voaswahili