Sheria ya malipo ya kustaafu (2013) yapingwa mahakamani

  • | KBC Video
    14 views

    Muungano wa taasisi za malipo ya uzeeni katika ngazi za kaunti umeelekea kwenye mahakama ya juu kupinga uamuzi wa mahakama ya rufani ambao unaruhusu utekelezaji wa sheria ya mwaka 2013, juu ya hazina ya kitaifa ya malipo ya uzeeni –(NSSF). Muungano huo umetaja uamuzi uliotolewa tarehe 3 Februari mwaka 2023 kuwa kinyume cha katiba. Hizi na babari nyingine ni katika mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #mahakamani #News