Shilingi milioni 28 kufidia kwa wakulima waliohamishwa lower Kuja, Nyamira

  • | Citizen TV
    170 views

    Mamlaka ya unyunyizaji maji imetenga shilingi milioni 28 kufidia waliohamishwa ili kutoa nafasi kwa ajili ya ujenzi Makazi ya eneo la lower Kuja, kaunti ya Nyamira.