Shinikizo la aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kukamatwa

  • | Citizen TV
    1,393 views

    Gavana wa Kericho Dkt. Erick Mutai Ataka Kukamatwa kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa Matamshi ambayo anasema ni ya Uchochezi.Gavana wa Kericho, Dkt. Erick Mutai, ametaka kukamatwa mara moja kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kufuatia matamshi yake ya hivi majuzi yanayodai kuwa vurugu vitazuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2027 ikiwa Serikali itaiba kura.