Shinikizo la damu la ujauzito

  • | Citizen TV
    271 views

    Watoto 28 kati ya 1,000 wanaozaliwa katika kaunti ya Siaya hufariki kabla ya kuhitimu mwezi mmoja huku takwimu katika ripoti ya afya ya uzazi ya kaunti hiyo zikionesha asimilia 50 ni Watoto wanaozaliwa kabla ya siku yao ya kuzaliwa kutokana maradhi ya shinikizo la damu la ujauzito