Shinikizo la vijana kutaka uwajibikaji na utendakazi sasa zimeelekezwa katika serikali za kaunti

  • | Citizen TV
    3,937 views

    Shinikizo la vijana kutaka uwajibikaji na utendakazi sasa zimeelekezwa katika serikali za kaunti ambapo maandamano yalishuhudiwa katika kaunti mbalimbali. Waandamanaji walibisha hodi katika afisi za magavana kudai uongozi bora huku maafisa wengine wa serikali za kaunti wakitakiwa kuwajibika. Ben kirui anaangazia shinikizo hizo katika kaunti mbalimbali.