Shinyalu: Familia yaomba msaada kulipa deni la hospitali ili kumzika mpendwa wao

  • | NTV Video
    413 views

    Familia moja kutoka Kijiji cha Shipala Chiroban eneo Bungela Shinyalu kaunti ya kakamega inaomba msaada wa Zaidi ya shilingi Elfu 290 kulipia Deni la kuweka mwili wa mpendwa wao mwili ambao umezuiliwa na usimamizi wa Hospitali ya St.Elizabeth ya Mukumu kwa zaidi ya miezi sita sasa kuufanyia maziko

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya