Shirika la ADC la ahidi kuimrisha mikakati ya kuhakikisha taifa linapata chakula

  • | Citizen TV
    188 views

    Bodi mpya ya Shirika la Maendeleo ya Kilimo (ADC) iliyozinduliwa hivi karibuni iko mbioni kuhakikisha taifa linapata chakula cha kutosha baada ya ukame wa muda mrefu