Skip to main content
Skip to main content

Shirika la haki la Marekani laikashifu serikali ya Kenya kwa kutoa pasipoti kwa RSF

  • | Citizen TV
    8,256 views
    Duration: 2:56
    Shirika Moja la haki za kibinadamu la Marekani sasa limejiunga na viongozi, na wananchi wanaozidi kuuliza masuali na kuishtumu serikali kuhusiana na sakata ya utoaji wa pasipoti za kenya kwa watu wanaohusishwa na ukiukaji mkubwa wa haki za kibinadamu nchini Sudan. Shirika hilo lililo na makao yake makuu jijini New York, limeishtumu serikali kwa kuwapa pasipoti wafadhili wa vita nchini Sudan ambao wamewekewa vikwazo, pamoja na watu wanaohusishwa na wapiganaji wa kundi la Rapid Support Forces.