Shirika la Jacaranda Health lashirikiana na kaunti tatu katika sekta ya afya

  • | Citizen TV
    145 views

    Shirika lisilo la kiserikali la Jacaranda health linafanya ushirikiano na sekta za afya kwenye kaunti tatu, Mombasa, Kisii Na Makueni ili kuimarisha utendakazi wa wakunga kwenye kaunti hizo. Hii leo maafisa wa shirika hilo na wake wa magavana katika kaunti hizo wanakongamana katika mkahawa mmoja mjini Kiboko kaunti ya Makueni kufanikisha ushirikiano huo.