Shirika la KBC lashirikiana na taasisi ya ICS

  • | KBC Video
    5 views

    Shirika la utangazaji la Kenya, KBC na taasisi ya mafunzo anuwai-ICS zimetia saini mkataba wa kupeperusha vipindi vya kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa kukuza uongozi bora na maadili humu nchini

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive