Shirika la KEBS labatili msimamo kuhusu mafuta uto ya utata

  • | Citizen TV
    502 views

    Halmashauri ya kupima ubora wa bidhaa nchini KEBS hii leo imebadilisha msimamo wake wa awali kuhusu shehena ya mafuta ya kupikia ya shilingi bilioni 17 na ambayo yaliagizwa nchini Okotoba.