Mafunzo ya nafasi ya uongozi Kilifi

  • | Citizen TV
    92 views

    Akiongea na wanahabari katika warsha ya siku 5 katika hoteli moja mjini malindi , mshirikishi mkuu wa mradi huo Perpetua Angima amesema lengo la hamasisho hiyo ni kuhakikisha kuwa wanawake wanapata sauti na uwezo wa kujisimamia katika jamii.