Shirika la kiraia DRC laitaka serikali ielezee kwa nini waasi wa M23 hawashughulikiwi

  • | VOA Swahili
    774 views
    Kiongozi wa shirika jipya la kiraia katika mji wa Uvira nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo anadadisi kwa nini serikali inawaachia waasi wa M23 kuendelea kutawala sehemu moja ya ardhi ya DRC inayopatikana wilayani Ruchuru huku jeshi likikaa kimya na wakazi wa maeneo hayo wakiwa wakimbizi. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.