Shirika la kudhibiti magonjwa laandaa warsha samburu

  • | Citizen TV
    79 views

    Baraza la kitaifa la kudhibiti magonjwa la NSDCC kwa ushirikiano na baraza la wanahabari nchini MCK, limeandaa warsha ya kuwahamasisha wanahabari maeneo ya wafugaji jinsi ya kuangazia maswala ya afya yanayowaathiri wakazi hasa virusi vya ukimwi, kuripotiwa na ongezeko ya maambukizi ya virusi hivyo kati ya mama na mtoto.