Shirika la LAPFUND latoa msaada wa viti kwa shule za chekechea katika kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    204 views

    Shirika la LAPFUND kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Migori Kwa kupitia Wakfu wa Agnes Ochilo wameanza mchakato WA usambazaji WA viti 2000 vya plastiki kwa shule za chekechea katika Kaunti ya Migori.