- 6,270 viewsDuration: 3:02Viongozi wa mrengo wa ODM wa linda mwananchi wamepinga ripoti kuhusu ajenda kumi iliyowasilishwa kwa wabunge wa odm na uda hapo jana. Wakiongozwa na seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na gavana wa siaya James Orengo, wanasiasa hawa wamesema ripoti hiyo haijatimiza malengo yaliyotazamiwa wakati wa mkataba wa mwaka jana.