Skip to main content
Skip to main content

Shirika la maji la TANATHI limeelezea kusikitishwa kwake na ongezeko la uharibifu wa miradi ya maji

  • | Citizen TV
    68 views
    Duration: 3:04
    Shirika la maji la TANATHI limeelezea kusikitishwa kwake na ongezeko la uharibifu wa miradi ya maji inayotekelezwa na serikali . Afisa mkuu wa shirika hilo Sammy Naporos ameyasema hayo alipozuru miradi mbalimbali iliyotekelezwa na TANATHI kaunti ya Makueni.