Shirika la ‘Men Engage Kenya Network’ laanzisha mpango wa kuwahamasisha wazazi kuhusu malezi bora

  • | Citizen TV
    221 views

    Kama njia moja ya kuthibiti mimba za utotoni katika kaunti ya Kajiado, shirika la ‘men engage Kenya network’ limeanzisha mpango wa kuwahamasisha wazazi kuhusu malezi bora. Wazazi hao wanahamasishwa kuhusu elimu ya afya ya uzazi, namna ya kuwasiliana na mabinti zao, pamoja na mbinu za kukabiliana na mihadarati miongoni mwa vijana ili kusaidia kuthibiti mimba za utotoni ambazo zimetajwa kukithiri katika kaunti hiyo ya Kajiado.