Shirika la misitu nchini lashirikisha jamii kulinda msitu

  • | Citizen TV
    228 views

    Uhusiano mwema kati ya jamii na shirika la misitu eneo la Old Bonjoge eneo mbunge la Aldai kaunti ya Nandi unaonekana kuzaa matunda katika kuhifadhi msitu wa old Bonjoge. Jamii katika eneo la Nyinyira wamepewa ruhusa na serikali kulima katika msitu huu kwa makubaliano kwamba watatunza na kupalilia miti.