27 Feb 2026 1:14 pm | Citizen TV 319 views Duration: 1:14 Shirika la Msalaba Mwekundu likishirikiana na mashirika mengine limeanza rasmi mradi wa kugawa chakula kwa waathiriwa wa ukame katika kaunti saba zilizoathirika zaidi