Shirika la Msalaba Mwekundu lawazawadi wakenya waliojitolea kuwasaidia waathiriwa wa njaa

  • | Citizen TV
    210 views

    Shirika la Msalaba Mwekundu liliandaa hafla ya kuwazawadi wakenya waliojitolea kuwasaidia wakenya ambao wanakumbwa na janga la njaa katika maeneo mbalimbali humu nchini . Viongozi wa shirika hilo ukanda wa kaskazini mwa Bonde la Ufa wamesema, bado kuna haja kubwa kwa wakenya kujitolea kuwasaidia haswa wale ambao bado wanakabiliwa na njaa.