Shirika la msalaba mwekundu limeonya kuhusu uwezekano wa janga la kibinadamu humu nchini

  • | KBC Video
    62 views

    Shirika la msalaba mwekundu limeonya kuhusu uwezekano wa janga la kibinadamu huu nchini, huku makazi elfu 30 katika kaunti zilizo kwenye hatari zaidi yakiwa na uwezekano wa kufurika huku mvua kubwa ikiendelea kushuhudiwa katika maeneo mengi nchini. Shirika hilo vilevile limetoa tahadhari kwa wakazi wanaoishi karibu na mabwawa ya Masinga na Kiambere ambayo yako katika hatari ya kufurika baada ya maji kuzidi kiwango. Haya yanajiri huku mito katika kaunti za Nairobi, Machakos na kajiado ikivunja kingo zake na kusababisha mafuriko katika maeneo ya makazi, watu kupoteza maisha na mifugo, uharibifu wa miundo msingi na watu kutoroka makwao katika zaidi ya makazi elfu 10,144.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News