Shirika la Rotary Club laweka mtambo wa kupiga maji shuleni

  • | Citizen TV
    62 views

    Watoto wanaoishi na ulemavu katika Kituo cha Watoto cha AIC huko Kajiado sasa wanaweza kupungia mkono matatizo ya uhaba wa maji ambayo yamewatatiza kwa miaka mingi. Hii ni baada ya shirika la Rotary Club la Nairobi Thika Road, kuchimba kisima kinachotumia nishati ya jua katika taasisi hiyo.