Shirika la uhifadhi wa misitu lazindua kitalu cha kisasa Loitokitok

  • | Citizen TV
    435 views

    Azma ya serikali kuu ya kupanda miti billioni 15 kufikia mwaka wa 2032 imepigwa jeki baada ya shirika la uhifadhi wa mazingira na wanyamapori WWF-Kenya kwa ushirikiano na shirika la huduma za misitu nchini KFS kuanzisha kitalu cha kisasa chenye uwezo wa kupwandwa miche milioni 1.3 kila mwaka katika msitu wa Loitokitok kaunti ya Kajiado