Shirika la UNESCO lafadhili masomo ya 'STEM' kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    461 views

    wasichana zaidi ya 100 kutoka shule za upili 11 kaunti ya Kwale wameshiriki masomo ya ziada ya sayansi, technologia, uhandisi na hisabati maarufu STEM yaliondaliwa na UNESCO, wizara ya elimu na taasisi ya STEM.