Shirika la usalama wa data limepokea kesi 5,000

  • | Citizen TV
    299 views

    Shirika la usalama wa data imepokea kesi 5000 zinazohusu udukuzi huku zaidi ya asilimia 75 ya kesi hizo zikiwa zimetatuliwa. Kamishna wa shirika hilo Emmaculate Kassait anasema ni muhimu kwa malalamishi kuwasilishwa katika muda wa saa 72 baada ya tukio na kwamba kesi hizo hutatuliwa katika muda wa siku tisini.