25 Aug 2025 11:24 am | Citizen TV 213 views Duration: 1:54 Serikali kupitia Shirika la Ustawishaji Kilimo (ADC) imeanzisha mpango kabambe wa kuwaelimisha wakulima kuhusu umuhimu wa kukumbatia teknolojia ya kisasa katika uzalishaji wa mazao ili kuimarisha usalama wa chakula nchini