Shirika la utafiti wa kimatibabu KEMRI lazindua maabara

  • | Citizen TV
    219 views

    Wakenya wenye magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kama saratani na kisukari watapata afueni baada ya shirika la utafiti wa kimatibabu nchini KEMRI kuzindua maabara itakayokuwa ikitengeneza seli msingi ambazo zitabadilishwa na zile zimeharibiwa na makali ya magonjwa hayo.