Shirika la utangazaji la KBC lawaaga wafanyikazi wake waliostaafu

  • | KBC Video
    24 views

    Shirika la utangazaji la Kenya-KBC limewaaga wafanyikazi wake waliostaafu baada ya miaka kadhaa ya kuwajibikia shirika pamoja na taifa kwa jumla. Wafanyikazi hao-13 wa idara ya Kiufundi walihudumu kwa karibu miongoni minne. Wale waliofanya kazi nao waliwapongeza kwa kuwanasihi na kuelekeza kizazi kizima.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News