Shirika la 'Wildlife Works' lawaajiri majangili walioasi uwindaji haramu kutunza mbuga Tsavo

  • | Citizen TV
    390 views

    Kati ya Mwaka 2012 hadi 2020 uwindaji haramu katika eneo la kasigau eneobunge la voi kaunti ya Taita-Taveta ulikuwa umekithiri. Hata hivyo, baada ya shirika la Wildlife Works kutoa ajira kwa majangili hao waliorekebika na kuwa walinzi wa mbuga, uwindaji haramu umepungua sana Kama anavyotuarifu Mwanahabari wetu Keith simiyu.