Skip to main content
Skip to main content

Shughuli katika mahakama ya Busia zinaendelea kutatizika

  • | Citizen TV
    186 views
    Duration: 1:37
    Shughuli katika mahakama ya Busia zinaendelea kutatizika kwa siku ya tatu hii leo baada ya baadhi ya mawakili wanaohudumu mahakamani kususia vikao vya kusikizwa kwa kesi katika mahakama inayoongozwa na hakimu mkuu Edna Nyaloti